Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.
MTAKATIFU
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yesu
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yesu
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yes...
I bless Your Name
I bless Your Name
I give You honor, give You praise
You are the Life, the Truth, the Way
I bless Your Na...
Uyahala uyahalalela,Jesu wamagotla
Uyahalalela uyahalela,Jesu wamagotla
Uyahala uyahalalela,Jesu wamagotla
uyahalalela, uy...
We praise, we praise, your name
We praise, we praise, your name,
we praise your name, we praise your name
we praise, we pr...
UTUKUZWE
Utukuzwe utukuzwe utukuzwe utukuzwe
Utukuzwe juu mbinguni,utukuzwe duniani
Utukuzwe hekaluni,YesuYesu utukuzwe.
B...
Roho Mtakatifu Roho wa Mungu
Shuka kwetu kama upendavyo
Tunakuabudu tunakuheshimu
Niwewe wastahili sifa
YESUTAWALA
Jehovah isYour Name
Jehovah is your name x2
Mighty warrior, great in battle Jehovah is your name
Mighty warrior, great in ...
Khalvari (Calvary)
Jeso o na shwela Khalvari (Jesus died in Calvary)
Ka le baka la dibe tsa rona. (Because of my sins)
Iyo...
Kijito cha utakaso ni damu yaYesu,
Bwana anao uwezo kunipa wokovu
Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kw...
Wewe ni Mwema
Naja mbele zako Mungu wangu
Nikiwa nazo heshima zote
Ninakili yale uyatendayo hakika wewe ni mwema
Wewe ni m...
 2. 1)Tunaomba uwepo wako uende nasi, Ewe Bwana wa majeshi tusikie; Kama
huendi nasi, hatutaki kutoka hapa; Hatuwezi peke...
Songs
Songs
Upcoming SlideShare
Loading in …5
×
Upcoming SlideShare
Tunaomba Uwepo Wako (Enda Nasi - by Reuben Kigame)
Next
Download to read offline and view in fullscreen.

Share

Songs

Download to read offline

The slide that you look is swahili gospel songs
most are worship songs and there is also zulu songs and english songs
enjoy it for more details email me ( samwelmmasa@yahoo.com)

Related Audiobooks

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

Songs

 1. 1. MTAKATIFU Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yesu Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yesu Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ni Yesuuu, Umeinuliwa wastaihili sifa kondoo juu ya enziii Sauti zetu twainua kukusifu kondoo juu ya enzii
 2. 2. I bless Your Name I bless Your Name I give You honor, give You praise You are the Life, the Truth, the Way I bless Your Name I bless Your Name We bless Your Name We bless Your Name We give You honor, give You praise You are the Life, the Truth, the Way We bless Your Name We bless Your Name You are the Life, the Truth, the Way We bless Your Name We bless Your Name
 3. 3. Uyahala uyahalalela,Jesu wamagotla Uyahalalela uyahalela,Jesu wamagotla Uyahala uyahalalela,Jesu wamagotla uyahalalela, uyahalalela,Jesu wamagotla
 4. 4. We praise, we praise, your name We praise, we praise, your name, we praise your name, we praise your name we praise, we praise your name… We praise, we praise, your name We praise, we praise, your name, we praise your name, we praise your name we praise, we praise your name
 5. 5. UTUKUZWE Utukuzwe utukuzwe utukuzwe utukuzwe Utukuzwe juu mbinguni,utukuzwe duniani Utukuzwe hekaluni,YesuYesu utukuzwe. Be Glorify be Glorify be glorify Be glorify in the heaven, be glorify in the earth Be glorify in this temple Jesus Jesus be glorify
 6. 6. Roho Mtakatifu Roho wa Mungu Shuka kwetu kama upendavyo Tunakuabudu tunakuheshimu Niwewe wastahili sifa
 7. 7. YESUTAWALA
 8. 8. Jehovah isYour Name Jehovah is your name x2 Mighty warrior, great in battle Jehovah is your name Mighty warrior, great in battle Jehovah is your name (Repeat)
 9. 9. Khalvari (Calvary) Jeso o na shwela Khalvari (Jesus died in Calvary) Ka le baka la dibe tsa rona. (Because of my sins) Iyo iyo Khalvari, iyo Khalvari iyo (Iyo Calvary) A thakgiswa morena Jeso (They crucified my Lord Jesus) A thakgiswa bakeng tsa rona (Crucified Him for my sins) Iyo iyo Khalvari, iyo Khalvari iyo (Iyo Calvary) Bamo tshwara morena Jeso (They took my Lord Jesus) Bamoisa thabeng ya Gologotha (Took Him to the mountain of Golgotha) Iyo iyo Khalvari Iyo Khalvari iyo (Iyo Calvary) Iyo iyo Khalvari, iyo iyo Khalvari, iyo iyo Khalvari, iyo Khalvari iyo Iyo iyo Khalvari, iyo iyo Khalvari, iyo iyo Khalvari, iyo Khalvari iyo
 10. 10. Kijito cha utakaso ni damu yaYesu, Bwana anao uwezo kunipa wokovu Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso Viumbe vipya naona damu ina nguvu, Imeharibu uovu ulionidhulumu neema ya ajabu kupakwa na damu Na BwanaYesu kumjuaYesu wa msalaba Naondoka kutembea nuruni mwa mbingu Na moyo safi kabisa kumpendezaYesu
 11. 11. Wewe ni Mwema Naja mbele zako Mungu wangu Nikiwa nazo heshima zote Ninakili yale uyatendayo hakika wewe ni mwema Wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema Baba x2 Wewe ndiwe Baba wa mataifa Unatenda mambo ya ajabuuu Ninakili yale uyatendayo hakika wewe ni mwema x2 Wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema Baba x2
 12. 12.  2. 1)Tunaomba uwepo wako uende nasi, Ewe Bwana wa majeshi tusikie; Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa; Hatuwezi peke yetu, enda nasi.  3. ChorusTutavua, mapambo yetu,Vitu vyote vya dhamani kwetu, Mioyo yetu twaleta mbele zako,Tutakase na utembee nasi.Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya  4. 2)Tuwatu wa shingo ngumu tusamehe; Hatufai mbele zako turehemu, Tusafishe eeh Baba,Tuonyeshe uso wako,Twahitaji neema yako, Enda nasi.*2 Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya  5. ChorusTutavua, mapambo yetu,Vitu vyote vya dhamani kwetu, Mioyo yetu twaleta mbele zako,Tutakase na utembee nasi.Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya  6. 3)Tunaomba utuonyeshe njia zako, Kwa maana umetuita kwa jina lako, Twalilia eeh Bwana, utukufu na uso wako, Bila wewe tutashindwa enda nasi.*2 Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya  7. ChorusTutavua, mapambo yetu,Vitu vyote vya dhamani kwetu, Mioyo yetu twaleta mbele zako,Tutakase na utembee nasi.*2 ~~~~~~~~ Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya  8. Chorus Nitavua, mapambo yangu,Vitu vyote vya dhamani kwangu, Moyo wangu naleta mbele zako, Nitakase na utembee nami.*2 ~End~ Slides Prepared forWorship services @ PCEA - JKMC Ndagani;Chuka - Kenya
 • samii2015

  Mar. 5, 2015

The slide that you look is swahili gospel songs most are worship songs and there is also zulu songs and english songs enjoy it for more details email me ( samwelmmasa@yahoo.com)

Views

Total views

2,440

On Slideshare

0

From embeds

0

Number of embeds

4

Actions

Downloads

5

Shares

0

Comments

0

Likes

1

×