10. Baadhi ya Mabenki Makubwa Duniani yenye Kutoa Huduma zenye Kufuata Mfumo wa Fedha wa Kiislamu New Entrants Angalizo: Benki nyingi zisizo za Kiislamu zinatoa huduma za fedha zenye kufuata taratibu za Kiislamu
11. AAOIFI inatengeneza, inaandaa na kutoa kwa ajili ya utekelezaji Kanuni na Taratibu za Kifedha za Kibenki IFSB inaandaa kanuni za Udhibiti na Viwango vya Kisheria vinavyoendana na vyenye hadhi ya Kimataifa IIFM inajishughulisha na kuanzisha, kuendeleza na kushajihisha Masoko ya Kiislamu ya Mitaji na fedha (Islamic capital and money markets) IIRA, ni Islamic rating agency ya pekee, inayotoa tathmini ya viwango kwa masoko ya Mitaji na katika Sekta ya Kibenki katika nchi za Kiislamu IDB inajenga na kushajihisha maendeleo ya kiuchumi na kijamiii kwa kufuata Misingi ya Sharia’h. GCIBFI ina malengo ya kuongeza muonekano wa Sekata ya mfumo wa fedha wa kiislamu katika maeneo makuu ya masoko ya fedha ya kimataifa General Council of Islamic Banks and Financial Institutions Taasisi za Kimataifa zenye Kusimamia Masuala ya Kifedha yenye Kufuata Mfumo wa Kiislamu Duniani
19. 2. Ulimwengu kutambua Uzuri na Ubora wa Sharia za Kiislamu Vatican offers Islamic finance system to Western Banks. The Vatican says Islamic finance system may help Western banks in crisis as alternative to capitalism. The Vatican offered Islamic finance principles to Western banks as a solution for worldwide economic crisis. Daily Vatican newspaper, 'L'Osservatore Romano, reported that Islamic banking system may help to overcome global crisis.
46. Tubaddalu sababul Milki Ka-iman maka-ma Tabadduli Ddhat Kubadilika sababu ya kumiliki kunasimama mahali pa kubadilika dhati (yenyewe). 225: Maana ya kanuni na sababu zake Itakapobadilika sababu ya kumilikii kitu Fulani, basi kitu hicho kitazingatiwa ni kubadilika hukumu japokuwa hicho hakikubadilika ki uhakika. Na msingi wa kanuni hii ni hadithi sahihi alioitoa Bukhari na Muslim, na katika riwaya ya Muslim toka kwa Anas bin Malik (r.a.) amesema: Bariirah alipeleka nyama aliopewa yeye sadaka kwa Mtume (s.a.w.) na Mtume akasema “kwake ni sadaka. Na kwetu ni hadiya” (zawadi). Na Imamu Nawawiy amesema:Katika kuieleza hadithi hii na mifano yake. Mlango wa kuhalalisha hadiya kwa Mtume (s.a.w.) Na Banii Hashim na Banii Muttwalib. Iwapo anayeitoa ameimiliki kwa njia ya sadaka. Na kubainisha kuwa sadaka akishaipokea aliyepewa sadaka, tayari ile sifa yake ya usadaka imeondoka. Na kitakuwa halali kwa kila mtu miongoni mwa waliokuwa ni haramu kwao kula sadaka.
Notas do Editor
Stakeholder engagement with appropriate consumer groups (Muslim Scholars of different sects)